SHILIKISHO LA NGUMI ZA RIDHAA 'BFT' YAMCHAGUA NDUGU YONO STANLEY KEVELA KUWA MJUMBE WAO
Rais wa Chama cha Ngumi Tanzania Bw. Mutta Rwakatare na timu yake walitembelea ofisi za Yono auction mart & Co ltd zilizopo posta mpya jengo la mavuno house kwa lengo la kumfikishia ujumbe mzito wa kupendekezwa kwake kuwa mjumbe wa chama hicho kati ya watu watano waliokuwa wakifanyiwa mchujo.Ndugu Yono Stanley Kevela (kulia), Raisi wa chama cha ngumi za ridhaa (katikat) pamoja na msemaji mkuu wa chama cha ngumi za ridhaa Tanzania (BFT) kwenye ofisi za Yono auction mart & Co ltd.
Ndugu Yono Stanley Kevela akipitia mapendekezo ya ujumbe....
SHILIKISHO LA NGUMI ZA RIDHAA 'BFT' WAKIWA NA STAFF WA
YONO AUCTION MART & Co. LTD